Vitabu vya Kiburunge

Downloads: 

Vitabu vya Kiburunge vinapatikana kusoma katika tovuti au kwa mtu kupakua.  Kuna vitabu kuwaongoza jinsi ya kusoma, na vitabu vya vitendawili, methali, na vitabu vinavyoeleza maisha ya Waburunge.

Karibu na ufurahie unaposoma Kiburunge.

 

 

Burunge pastors and Bible dictionaries, cropped (2).jpg