Filamu ya Yesu

Filamu ya Yesu inaonyesha maisha ya Yesu Kristo.  Filamu hii inapatikana katika lugha ya Kiburunge. Bonyeza hapa chini kuangalia filamu hii.  Kwa ajili ya kupakua nakala yako, fuata link hii, Filamu ya Yesu Kiburunge, na kubonyeza sehemu hiyo iliyoandikwa “download”.

JESUS

Jesus constantly surprises and confounds people, from His miraculous birth to His rise from the grave. Follow His life through excerpts from the Book of Luke, all the miracles, the teachings, and the passion.